Psiphon na mkataba wa leseni ya mtumiaji wa mwisho

Programu hii na mali zote za kiakili zinazohusishwa ni mali za Psiphon Inc. Ontaro iliyosajiliwa na shirika pamoja na mkuu wa ofisi ya Torontr, Ontario Canada.

The Psiphon system consists of both “software” (program source code and applications derived from that code) and a “service” (a system of client and server software that make up a functioning whole). The Psiphon software and source code are free and open-source and are licensed under the GNU General Public License Version 3 (with some exceptions – see each source repository for the specific license). Use of the Psiphon service is licensed under the terms described on this page.

Psiphon seva inamadhuuni madhubuti ya mtu binafsi, na kwa matumizi ya mtumiaji tu. Kama unatarajia kutumia Psiphon kwa kusudi lolote au kua na mahitajia ya ziada, tumetoa kwa kulipwa, huduma za kibiashara. kwa maelezo zaidi, barua mdhamini@psiphon.ca.

Masharti ya matumizi

Kwa kutumi huduma ya Psiphon, umekubali kutoitumia njia yeyote ambayo inakiuka sheria ya canadian, au haki ya sehemu ya tatu.

Matumizi ya kibinafsi au maalum

Tumia Psiphon seva ni kubwa chini ya isiyoyakipekee, leseni binafsi. Kwa kutumia Psiphon, umekubali kutumia huduma binafsi, matumizi yasiyo ya kibiashara tu. Huwezi (na huwezi kuruhusu sehemu ya tatu ku) pangisha, kukodisha, sublicense, kuuza, kuiuza au vinginevyo kusambaza matumizi ya huduma ya Psiphon kwa sababu za kibiashara.

Usambazaji

Programu tu ya wateja imeundwa na Psiphon Inc. Inaruhusiwa kutumia Psiphon seva. Ni ukiukaji wa hii leseni kwa kusambaza au kutumia sehemu ya tatu ya mteja au kifaa kwa kutumia Psiphon seva.

Taarifa ya dhima ya kiwango cha juu

Psiphon seva inatoa "kama ilivyo" na bila dhamana au imeonyesha au kushtaki uwezo kwa fadhla zozote. Psiphon inakanusha dhamana zote na uwezo wakuhusishwa kwa matumizzi ya huduma hii, pamoja kuumia wa kibinafsi, au ajali yeyote, maalum, moja kwa moja au mtu muhimu au uharibifu wa kibiashara yeyote,pamoja na kupoteza data na usumbufu wa kibiashara.

Kumaliza; Ukiukaji wa huduma ya masharti

Psiphon seva haki ya burudani ya kipekee kwa kuamua leseni hii kwa muda wowote kwa vyovyote au hakuna sababu, hakuna kukubali kutumia huduma kwenye njia yeyote ambayo inakiuka masharti ya huduma na makubaliano ya leseni.

Uaminifu, Kasi, Unyenyekevu: baini tatu

Matumizi ya PsiCash

  1. Kama hakutakua na kazi ya PsiCash kwenye kifaa chako kwa mwaka mmoja, alafu Psiphon inapokeasahihi kufuta PsiCash yako.
  2. Kama umepoteza ufuatiliaji wa PsiCash, kwa mfano kwa kupoteza kifaa chako, alafu kutambua kua Psiphon hiyo haiwezi kukusanya makosa haya na kuhifadhi PsiCash yako.
  3. Psiphon inapokea haki ya kubadili tuzo inayoweza kubadilishwa kwa PsiCash mda wowote.